2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mkuu hata Kocha aliyepita Fernando Santos alimvumilia sana Ronaldo, baadae akaona huu upuuzi akanza kumweka bench.. Kilichomkuta akafutwa kazi... Haya maisha inabidi ubalansi professionalism na kaunafki...

We angalia Brazil, Carlo Ancelot alikua hataki kumwita Neymar.. Baadae skaona mashabiki nchi nzima wana mind Neymar aitwe... Baadae akaona hawa mafala niwape wanachotaka ili niendelee kulinda kibarua changu... Sasa hv ukiangalia Neymar mwenyewe wachezaji ni full injury na hata angecheza hana mchango wowote wa maana..
Hali hiyo iliwahi mkuta mzee Scorali ingawa yeye alikaza kwa kuwaambia kubwa Brazil inaomakocha milioni ........akitaja namba sawa na population ya nchi, akimaanisha kubwa kila mtu ni kocha nchini Brazil huku yeye akijiita kiongozi wa makocha.
 
Back
Top Bottom