tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Kwakweli natamani sn Morocco ashinde, maana anajua sana.Haogopi pia.Kesho kwa muhindi ni mwendo wakudonoa donoa
Halafu leo hawachezi vzr kama vile na Brazil
Kwakweli natamani sn Morocco ashinde, maana anajua sana.Haogopi pia.Kesho kwa muhindi ni mwendo wakudonoa donoa
Kumbe! Maana kukosa fainali 3 mfululizo, hata baada ya kuongezwa timu, simchezo.Wana invest zaidi kwa watu umri ushaenda wanaacha ku invest kwenye soka la vijana, inabidi waanze upya
Sijui, labdaMrembo kashalala
Itakuwa, mwache apumzike. Hapana mkuu hatujuani kabisa,halafu namheshimu dada wa watu.Amezidiwa...si ushachukua number?
Si rahisi hivo mkuu,halafu hao wanataka maisha mazuri me bado najitafuta kaka mambo yangu bado hayapo sawa.Acha uoga wewe....😀😀
Mbona kakuelewa?
Mnaungana mnatafuta wote.Si rahisi hivo mkuu,halafu hao wanataka maisha mazuri me bado najitafuta kaka mambo yangu bado hayapo sawa.
Hawaelewi wadada wa siku hizi, wapo wachache saaaana wa kujenga pamoja