Kuna msanii zaidi ya muarabu lol 😆Hawa ukipata nafasi ni kupiga mapema.Huwa wasanii sn hawa wascotish
KinakulambaHaya mashindano kanuni zake ngumu kwa sasa weka usanii unakugharimu
Wameanza kulegea Morocco, hadi naogopa jamani aaah aaahKuna msanii zaidi ya muarabu lol 😆
Na hivi wabrazil wana point 1Leo wascott ubishi wao utaisha.
Kazi yao na Brazil itakuwa heavy
Tuliaa kama unanyolewaWameanza kulegea Morocco, hadi naogopa jamani aaah aaah
Katika nchi za N. Africa ni Algeria tuu ndo huwa najisikia vibaya wakifungwa, wengine hawa, washinde au washindwe, poa tuu.Wameanza kulegea Morocco, hadi naogopa jamani aaah aaah
Sawa,ila ingependeza sn kama ungekuwa pamoja na mimi kwa MoroccoTuliaa kama unanyolewa
Kwa sasa haina ubishiLigi ya Uingereza ndio ligi bora duniani
Kweli aisee, maji hupwa na kujaa.Mambo yanabadilika. Nothing is permanent
Wana invest zaidi kwa watu umri ushaenda wanaacha ku invest kwenye soka la vijana, inabidi waanze upyaHivi nini kiliwatokea wataliano, maana zamani, walikuwa wababe sana, wafaransa ndo walikuwa vibonde, sasa imekuwa kinyume.