ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,325
- 51,241
Anajua sanaChama wa Morocco
Anajua sanaChama wa Morocco
😏😏Hello scottish
Watajua wenyeweHizi nafasi Morocco watajuta badae
Ngekuwa 3 sasa aaahWatajua wenyewe
Endelea kuhesabu kwa vidole hivyo hivyoI
Ngekuwa 3 sasa aaah
Wafunge la 2 banaaNdio ball! Zitazaa tu bao hapo
Waongeze banaa,moja halitoshiEndelea kuhesabu kwa vidole hivyo hivyo
Mda bado upo ngoja tuoneWaongeze banaa,moja halitoshi
Mda bado upo ngoja tuone
Kuna msanii zaidi ya muarabu lol 😆Hawa ukipata nafasi ni kupiga mapema.Huwa wasanii sn hawa wascotish
KinakulambaHaya mashindano kanuni zake ngumu kwa sasa weka usanii unakugharimu