uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 18,391
- 30,661
- Thread starter
- #4,261
Ligi ya Uingereza ndio ligi bora dunianiEpl
Uingereza inatajwa kuharibu utamaduni wa soka la Brazil kwa kubadili vipaji vyenye asili ya ubunifu wa Joga Bonito kuwa wachezaji wanaocheza kwa misingi ya mifumo na nguvu. Hata hivyo, wengine wanaona Ligi Kuu ya Uingereza imewasaidia Wabrazili kupata uzoefu na mbinu ngumu zinazoinua kiwango cha timu yao ya taifa.