ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,059
- 40,281
Huyu pia ni ke anakuchota lol 😆Mkuu unaharibu sasa...
Huoni mwandiko huo?
Wakubembeleza kabisa yani!!
Huyu pia ni ke anakuchota lol 😆Mkuu unaharibu sasa...
Huoni mwandiko huo?
Wakubembeleza kabisa yani!!
Waarabu koko hawataki mchezoNi hivi Scotland wamechanganyikiwa kidogo
Hawa watu wanacheza aiseMorocco wanafanya pressing ya hali ya juu
Huo mwandiko wa MEMkuu unaharibu sasa...
Huoni mwandiko huo?
Wakubembeleza kabisa yani!!
Tena kwa nchi kubwa tuu kama Canada na Australia, ukiacha Vinchi vidogo vidogo.Eeh ndio mkuu wa nchi, kawaweka tuu mawaziri wakuu kama watendaji
Morocco tumepata kona Goli la 2 lipatikane haraka sasa,1 halina garentee
Tafrani 😆😆Nyie hata siwaelewi kabisa...
🤣
Sijawahi kwakweli, mimi ni ME libayaa kwa sura sanaaHujawahi kufatilia nyuzi zangu et?
Ila wewe ni ke najua
Jamaica, na nchi nying ndogondogo, yule sasa ndio dictator familia moja inamiliki nchi zaidi ya 15Tena kwa nchi kubwa tuu kama Canada na Australia, ukiacha Vinchi vidogo vidogo.
Ngoja niangalieHujawahi kufatilia nyuzi zangu et?
Ila wewe ni ke najua