comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,131
- 16,166
Ama hakikaa maroc wanatuwakilisha vyema sisi waislamu
Ngoja tumalize kunywa majiHiyo pressing wanayofanya sio mchezo.
Diop yellow kadi
AsalamalekooAma hakikaa maroc wanatuwakilisha vyema sisi waislamu
SawaW
Ngoja niangalie
Libaya ndio nini acha hizoSijawahi kwakweli, mimi ni ME libayaa kwa sura sanaa
Ndio, Mimi muislamu najivunia moroko, hata wao walivyofika nusu Fainali walisema ushindi ule ni kwa ajili ya sisi Ulimwengu wa waislamuDuh! Mkuu hadi dini tena?
Yani kwa kifupi hapo ni timu ya ulaya inacheza na moroco, hapo ni UEFA vs CAFMajirani na England.
Hao wenyewe ni sehemu ya UK
Waarabu watu wabaya2 - 🇲🇦 Ismael Saibari is only the second African player to score in his first two appearances at the FIFA World Cup, after Egypt's Mohamed Salah.
We jama kama ni no uwanjani ilibidi uwe kiungo😆😆Mtego huo...
Ndo hivo,halafu masikini.Libaya ndio nini acha hizo
Sipendi mtu wa kujishusha
Chama labda unapenda udambwi udambwi sana 😆Kama nani vile?