tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Saa tisasangapi BRAZIL?
Saa tisasangapi BRAZIL?
We ebu tuache hiyo kazi ni ya kijani kibichiKwanza humu nyote mlipaswa mshabikie Taifa Stars tu na kama haipo kwenye mashindano muangalie tu bila kushabikia timu yoyote
Mkuu Morocco watu wabaya sanaaaScotland igweee🔥🔥🔥🔥
Ngoja tuone mda utasema which is whichMkuu Morocco watu wabaya sanaaa
Taifa stars tutaishabikia 2030, maana itaingia, kwenye finali za kombe la dunia, hasa ukichukulia hawa vijana wa U17 watakuwa wameiva.Kwanza humu nyote mlipaswa mshabikie Taifa Stars tu na kama haipo kwenye mashindano muangalie tu bila kushabikia timu yoyote
Watoto wapuuzi sana hawaManeno ya nani
Ngoja tuoneeMorocco watawashinda ninyi
Wanamchezea gotiWatoto wapuuzi sana hawa
Yeah. Morocco watavukaMorocco watawashinda ninyi
kuna huyu J.Abushir wa f.gate anaupga mwingTaifa stars tutaishabika 2030, maana itaingia, kwenue finali za kombe la dunia, hasa ukichukulia hawa vija wa U17 watakapokuwa wameiva.
Imani yako kali sana unaweza kuhamisha milimaTaifa stars tutaishabikia 2030, maana itaingia, kwenue finali za kombe la dunia, hasa ukichukulia hawa vija wa U17 watakapokuwa wameiva.