Wamefanya kila kitu lakini gori halitokeiKabisa
Si mchezaji wa 12 🤣Kumbe na marefa wanaumiaga🤣🤣🤣
USA si unajua tena ila hata hivyo hawezi kubeba hiki kikombeSema refa alikuwa biased
YesHabebi iko wazi
sangapi BRAZIL?Natamani game la Brazil ila muda mchafu.