Amka mzee ucheki mpira muda sasa achana na kuotaTaifa stars tutaishabikia 2030, maana itaingia, kwenye finali za kombe la dunia, hasa ukichukulia hawa vijana wa U17 watakapokuwa wameiva.
Sema Morocco now wapo vizuri mnoo9,8,7,6,5,4,3,2,1 priiiiiiiiiii
Hivi uliona kiwango walichoonesha? Wale ni zao la academy.Ndoto
Mkuu vip upo?unaonaaaNgoja tuone mda utasema which is which
Aibu naona mimiWashabiikeeeee
Goooooooaaaaaal
Ningekua na mume ningeenda kumkanda miguu kuliko kudhalilika asububuhi 🙌Mkuu vip upo?unaonaaa
Hapana,Arsenal ndo wanamuwinda.🤣🤣 wanamtaka kwani?
Wasingefika fainali kama wasingekuwa vizuri, na kote huko tulishidwa kwa penati.Imani yako kali sana unaweza kuhamisha milima