Ulishuhudia kwa macho yako? Au umehadiithiwa?Kwa sababu wanasema wanacheza kwa ajili ya waarabu na sio waafrika
Kumbe hili walishamalizana?Mbona hili lilisharekebishwa?
Kuwa mzalendoLolote baya liwakute Morocco amen
Hakuna uzalendo kwenye mpira wewe tuliaa🔥🔥🔥Kuwa mzalendo
Dua la kuku halimpati mwewe, mtaongea sana ila Morocco ataendelea kutoa dozi na kuwaumiza watu kama wewe mnaoendekeza chuki na ubaguziLolote baya liwakute Morocco amen
Kwahiyo mimi kushabikia Scotland nakua mbaguziDua la kuku halimpati mwewe, mtaongea sana ila Morocco ataendelea kutoa dozi na kuwaumiza watu kama wewe mnaoendekeza chuki na ubaguzi
Morocco pigeni hao
Wewe ni muafrikaHakuna uzalendo kwenye mpira wewe tuliaa🔥🔥🔥
Hata hivyo mimi sio mwarabu
Muda wa hovyo kabisa.Natamani game la Brazil ila muda mchafu.
Maneno ya nani
Acha chuki mzee, mwanaume mzima unakua hivyo duhHakuna uzalendo kwenye mpira wewe tuliaa🔥🔥🔥
Hata hivyo mimi sio mwarabu
Mimi ni mu africa ambaye nimechagua kushabikia Scotland ajabu naitwa mbaguzi😅😅🙌Wewe ni muafrika
Bro tuliaaa 🔥🔥🔥Acha chuki mzee, mwanaume mzima unakua hivyo duh
Timu USA inaweza fika finali, ni timu bora kabisa kuwahi kutokea toka walipoanzisha ligi ya mpira miaka 30 iliyopita.USA 2nd team qualified for 32 round