Wako vizuri sana wale vijana aisee.kuna huyu J.Abushir wa f.gate anaupga mwing
Baada ya Morocco kupata goli umeumia mzeeHamna mpira hapa
Wacha nilale tuu
Mmmh jamani,uzuri wote huo huna mume!Ningekua na mume ningeenda kumkanda miguu kuliko kudhalilika asububuhi 🙌
Hawa Scotland wangeungana na England tu wakaunda team ya UKNa moto bado wanapeleka kinoma
Wewe unafikiri hii ni mara ya kwanza?Wasingefika fainali kama wasingekuwa vizuri, na kote huko tulishidwa kwa penati.
Baada ya Morocco kupata goli umeumia mzee
Kwenye mpira angalau tunajitahidi.Mipango yetu kama nchi ni mfu mkuu
SawaWasingefika fainali kama wasingekuwa vizuri, na kote huko tulishidwa kwa penati.
Scotland hana ushindani huyu.Mbona watu wanakimbia?
Nikikumbuka game ya Jana Uswisi vs Bosnia and Herzegovina.
Mpaka Dakika ya 70 ilikuwa 0-0
Lakini game ikaisha 4-1 nachoka kabisa.
Tucheki ball
Jeuri binti 😅😅Mmmh jamani,uzuri wote huo huna mume!
Mbona noko macho, tena jua leo ni kali sana.Amka mzee ucheki mpira muda sasa achana na kuota
Bahati mbaya 🤣Scotland hana ushindani huyu.
Saaa dakika ya kwanza tu chumaa