ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,993
- 40,149
Ndoto hiyo🤣 USA na mpira wapi na wapi hapo wawashukuru wakimbiziLabda wakaliibe
Ndoto hiyo🤣 USA na mpira wapi na wapi hapo wawashukuru wakimbiziLabda wakaliibe
timu itakayoifunga USA ijiandae kupigwa mabomu.Labda wakaliibe
wakutane na Iran⚔️🗡️🗡️⚔️⚔️🤣🤣🤣🤣
2-0 ni kuponea chupuchupu? 😂Mmeponea chupu chupu
Robertson atakubal kula 5Ngoja tuone
Waskoch wamoto?Saa moja ijayo Morocco vs Scotland
Kwanini unajishtukia mkuu😅Kila la kheri Morocco
Wenye element za ubaguzi na chuki piteni pembeni kama hamuioni comment ya Bp
Yaani mkazi wa Chanika wanatafuta daladala, mechi ndio inaanzasangapi BRAZIL?
Mbona unawakera watu weusi?Vivaa Dima maghrib 🇲🇦
Waskoch wamoto?
Mbona unawakera watu weusi?
Kwa sababu wanasema wanacheza kwa ajili ya waarabu na sio waafrikaMbona wanawakera waarabu?