Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,823
- 7,433
Germany mtoe kabisa kwenye robo huko England akifika nusu pengine ikatokea kakutana na Portugal 🇵🇹 hatambiEngland na German
Germany mtoe kabisa kwenye robo huko England akifika nusu pengine ikatokea kakutana na Portugal 🇵🇹 hatambiEngland na German
Final ilikuwa kati ya England na Spain, si ndio iliishia 2-1?Na hivi ndivyo ilicheza mwaka jana katika kombe la EURO na ikabeba ushindi mwembamba mbele ya Italy ilifika mahala Italy anapaki basi kama arsenal
Nazungumzia ile fainal mwaka jana ilikua kati ya Italy na SpainFinal ilikuwa kati ya England na Spain, si ndio iliishia 2-1?
Unaondoka na England msimu huuAsante sana.
Time will tell... ngoja tuoneEngland ndy timu kubwa itakayo aga mashindano mapema sana
Hana maajabu Germany alikua wa moto 2014 mpka mbrazil ana historia nae 7_1Muda utaongea
Hivi itaanza lini???Muda utaongea
Katika kundi lako unaona utashinda game ngapi hapoKabisa, japo Tuchell ameniudhi sana kuwaacha Foden, Palmer na Alexander
Kwasasa hakuna umeona peru wanafanya matambiko kwa picha ya neymar aendelee kua majeruhi asicheze game msimu huuIlikuwa ya moto sana ile timu.
Santo sana kwa mwongozo.. Bega kwa bega mwamwiNext Thursday...
Kina Happen!! Mexico vs Mudau
Unashinda kwa nani na naniTunashinda mbili droo moja.