Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,823
- 7,433
Senegal akikutana na norway watadeal sana na halaand ili kulazimisha matokeo ya kwa senegalKundi la Senegal unalionaje?
Ana nafasi mbele ya Norway?
Senegal akikutana na norway watadeal sana na halaand ili kulazimisha matokeo ya kwa senegalKundi la Senegal unalionaje?
Ana nafasi mbele ya Norway?
Apo senegal nampa nafasi kwasababu ya upana wa kikosi chake na ubora wa mchezaji mmoja mmoja kulinganisha na norwayUnampa nani nafasi zaidi?
ninachoona hapa, kwa upande wangu Colombia hana kikosi kizuri ukifananisha na DRCKwanini sasa Congo asimfunge ureno hujiulizi ilo
Sawa acha tuone lakini kumbuka pia timu inaweza kua bora ila mfumo wa kocha anaoweza kutumia siku hiyo ukaenda wrong na mpinzani wakeninachoona hapa, kwa upande wangu Colombia hana kikosi kizuri ukifananisha na DRC
angalia vikosi vyao hapa chini na ukubwa wake.
Full Squad (DRC)
Goalkeepers:
- Lionel Mpasi (Le Havre)
- Timothy Fayulu (FC Noah)
- Matthieu Epolo (Standard Liège)
Defenders:- Chancel Mbemba (Lille)
- Axel Tuanzebe (Burnley)
- Arthur Masuaku (Lens)
- Gédéon Kalulu (Aris Limassol)
- Joris Kayembe (Genk)
- Aaron Wan-Bissaka (West Ham United)
- Rocky Bushiri (Hibernian)
- Steve Kapuadi (Widzew Łódź)
- Dylan Batubinsika (AEL)
Midfielders:- Noah Sadiki (Sunderland)
- Charles Pickel (Espanyol)
- Edo Kayembe (Watford)
- Samuel Moutoussamy (Atromitos)
- Ngal’ayel Mukau (Lille)
- Nathanaël Mbuku (Montpellier)
- Meschak Elia (Alanyaspor)
- Brian Cipenga (Castellón)
- Gaël Kakuta (AEL)
- Théo Bongonda (Spartak Moscow)
Forwards:- Simon Banza (Al Jazira)
- Yoane Wissa (Newcastle United)
- Fiston Mayele (Pyramids FC)
- Cédric Bakambu (Real Betis),
Full Squad (Colombia)
Goalkeepers:
- Camilo Vargas — Atlas (Liga MX)
- David Ospina — Atlético Nacional (Colombian League)
- Álvaro Montero — Vélez Sarsfield (Argentine League)
- Daniel Muñoz — Crystal Palace (Premier League)
- Davinson Sánchez — Galatasaray (Turkish Süper Lig)
- Jhon Lucumí — Bologna (Serie A)
- Johan Mojica — RCD Mallorca (La Liga)
- Willer Ditta — Cruz Azul (Liga MX)
- Santiago Arias — Independiente (Argentine League)
- Déiver Machado — Nantes (Ligue 1)
- Yerry Mina — Cagliari (Serie A)
- Jefferson Lerma — Crystal Palace (Premier League)
- Jhon Arias — Palmeiras (Brazilian Serie A)
- Jorge Carrascal — Flamengo (Brazilian Serie A)
- Juan Camilo Portilla — Athletico Paranaense (Brazilian Serie A)
- Richard Ríos — Benfica (Primeira Liga)
- Juan Fernando Quintero — River Plate (Argentine Primera División)
- Gustavo Puerta — Racing de Santander (La Liga)
- Kevin Castaño — River Plate (Argentine Primera División)
- James Rodríguez — Minnesota United (MLS) — Captain
- Jaminton Campaz — Rosario Central (Argentine Primera División)
- Luis Díaz — Bayern Munich (Bundesliga)
- Jhon Córdoba — Krasnodar (Russian Premier League)
- Luis Suárez — Sporting CP (Primeira Liga)
- Cucho Hernández — Real Betis (La Liga)
- Carlos Andrés Gómez — Vasco da Gama (Brazilian Serie A)
Apo ufaransa anampiga iraq akienda kwa norway utakua ni mchezo wa kufunguka baina ya timu mbili tofauti na atakavyoenda kukutana na senegalSawa ila patachimbika
ni kweli siku hizi mpira ni Sayansi.Sawa acha tuone lakini kumbuka pia timu inaweza kua bora ila mfumo wa kocha anaoweza kutumia siku hiyo ukaenda wrong na mpinzani wake
Ndo manaake ndo maana mataifa ya nje mengi yanawin game zao kwa sayansi ya mpira zaidi afrika tunakariri wachezaji ata sis sishangai kuona baadhi ya mataifa kutoita wachezaji nyota kwenye kambi zaoni kweli siku hizi mpira ni Sayansi.
unaweza kuwa na wachezaji wazuri ila ukashindwa kufanya maajabu.
Ndo mpango mzima huo maana norway hate hategemei matokeo kwa France 🇫🇷 na akizembea kwa senegal anakutanishwa tenaSenegal wanakitu, uwezo wa wachezaji ni mkubwa.
Wanahitaji muunganiko mzuri
Hebu weka na kikosi cha Senegalninachoona hapa, kwa upande wangu Colombia hana kikosi kizuri ukifananisha na DRC
angalia vikosi vyao hapa chini na ukubwa wake.
Full Squad (DRC)
Goalkeepers:
- Lionel Mpasi (Le Havre)
- Timothy Fayulu (FC Noah)
- Matthieu Epolo (Standard Liège)
Defenders:- Chancel Mbemba (Lille)
- Axel Tuanzebe (Burnley)
- Arthur Masuaku (Lens)
- Gédéon Kalulu (Aris Limassol)
- Joris Kayembe (Genk)
- Aaron Wan-Bissaka (West Ham United)
- Rocky Bushiri (Hibernian)
- Steve Kapuadi (Widzew Łódź)
- Dylan Batubinsika (AEL)
Midfielders:- Noah Sadiki (Sunderland)
- Charles Pickel (Espanyol)
- Edo Kayembe (Watford)
- Samuel Moutoussamy (Atromitos)
- Ngal’ayel Mukau (Lille)
- Nathanaël Mbuku (Montpellier)
- Meschak Elia (Alanyaspor)
- Brian Cipenga (Castellón)
- Gaël Kakuta (AEL)
- Théo Bongonda (Spartak Moscow)
Forwards:- Simon Banza (Al Jazira)
- Yoane Wissa (Newcastle United)
- Fiston Mayele (Pyramids FC)
- Cédric Bakambu (Real Betis),
Full Squad (Colombia)
Goalkeepers:
Defenders:
- Camilo Vargas — Atlas (Liga MX)
- David Ospina — Atlético Nacional (Colombian League)
- Álvaro Montero — Vélez Sarsfield (Argentine League)
Midfielders:
- Daniel Muñoz — Crystal Palace (Premier League)
- Davinson Sánchez — Galatasaray (Turkish Süper Lig)
- Jhon Lucumí — Bologna (Serie A)
- Johan Mojica — RCD Mallorca (La Liga)
- Willer Ditta — Cruz Azul (Liga MX)
- Santiago Arias — Independiente (Argentine League)
- Déiver Machado — Nantes (Ligue 1)
- Yerry Mina — Cagliari (Serie A)
- Jefferson Lerma — Crystal Palace (Premier League)
- Jhon Arias — Palmeiras (Brazilian Serie A)
- Jorge Carrascal — Flamengo (Brazilian Serie A)
- Juan Camilo Portilla — Athletico Paranaense (Brazilian Serie A)
- Richard Ríos — Benfica (Primeira Liga)
- Juan Fernando Quintero — River Plate (Argentine Primera División)
- Gustavo Puerta — Racing de Santander (La Liga)
- Kevin Castaño — River Plate (Argentine Primera División)
- James Rodríguez — Minnesota United (MLS) — Captain
- Jaminton Campaz — Rosario Central (Argentine Primera División)
Forwards:
- Luis Díaz — Bayern Munich (Bundesliga)
- Jhon Córdoba — Krasnodar (Russian Premier League)
- Luis Suárez — Sporting CP (Primeira Liga)
- Cucho Hernández — Real Betis (La Liga)
- Carlos Andrés Gómez — Vasco da Gama (Brazilian Serie A)
Hebu weka na kikosi cha Senegal
Hiki kikosi kikifunguka kwa norway kinapata matokeo mapema sanaGoalkeepers
- Édouard Mendy – Al-Ahli (Saudi Pro League)
- Mory Diaw – Le Havre (France)
- Yehvann Diouf – OGC Nice (France)
Defenders
- Krépin Diatta – AS Monaco (France)
- Antoine Mendy – OGC Nice (France)
- Kalidou Koulibaly (Captain) – Al-Hilal (Saudi Pro League)
- El Hadji Malick Diouf – West Ham United (England)
- Mamadou Sarr – Chelsea (England)
- Moussa Niakhaté – Lyon (France)
- Moustapha Mbow – Paris FC (France)
- Abdoulaye Seck – Maccabi Haifa (Israel)
- Ismaïl Jakobs – Galatasaray (Turkey)
- Ilay Camara – Anderlecht (Belgium)
Midfielders
- Idrissa Gana Gueye – Everton (England)
- Pape Gueye – Villarreal (Spain)
- Lamine Camara – AS Monaco (France)
- Habib Diarra – Sunderland (England)
- Pathé Ciss – Rayo Vallecano (Spain)
- Pape Matar Sarr – Tottenham Hotspur (England)
- Bara Sapoko Ndiaye – Bayern Munich (Germany)
Forwards
- Sadio Mané – Al-Nassr (Saudi Pro League)
- Ismaïla Sarr – Crystal Palace (England)
- Iliman Ndiaye – Everton (England)
- Assane Diao – Como (Italy)
- Ibrahim Mbaye – PSG (France)
- Nicolas Jackson – Bayern Munich (Germany)
- Bamba Dieng – Lorient (France)
- Chérif Ndiaye – Samsunspor (Turkey)
Kuna hiyo Midfilder ya Evarton Gueye namuelewa sanaHiki kikosi kikifunguka kwa norway kinapata matokeo mapema sana
Kazi ya kuolibary ni kudeal na halaand tu osegaad hawezi kusogea atakua anapiga mpira wa kumchonganisha halaand tu wamvunjeKuna hiyo Midfilder ya Evarton Gueye namuelewa sana
picha litakuwa kali sana.Kazi ya kuolibary ni kudeal na halaand tu osegaad hawezi kusogea atakua anapiga mpira wa kumchonganisha halaand tu wamvunje
Zaidi ya sana vilevule kwa kundi la south africa la moto palepicha litakuwa kali sana.
kumfunga Mexico na Korea itakuwa kibarua kigumu sana.Zaidi ya sana vilevule kwa kundi la south africa la moto pale
sijui kwanini Ivory Coast haitajwi sana,Zaidi ya sana vilevule kwa kundi la south africa la moto pale