Panama ametangaza kulipa kisasi juu ya England mnakumbuka matokeo ya mwishoPanama na Ghana
nimekusomaNazungumzia ile fainal mwaka jana ilikua kati ya Italy na Spain
Wafatiliaji wa kambumbu lazima kucheki zile game muhimu hiyo game itaangaliwa tuTutakuwa hapa kwa ma updates kama yote...
Mbaya zaidi kuna hadi game za Late Midnight, imagine Brazil vs Morocco game inapigwa saa saba usiku! Muda wa huku kwetu
June 11thHivi itaanza lini???
Dakika za majeruh hao wanashikilia bomba kuharibu mpango mzimaHawezi, hana timu
Game anazocheza mwafrika zote ni za kuangaliaKuna game ya Ivory Coast vs Ecuador saa nane usiku halafu ni Monday
Alafu ndo itakua game yenu ya mwisho nafikiri kama mkiwa mshakua na point 6 basi mnaweza kumuachia tu ila akiona mmetoa droo na ghana kwisha habari yakePatachimbika
game nzuri ni za saa mbili usiku, saa nne na saa tano at least unakaa unatizama bila shida.Wafatiliaji wa kambumbu lazima kucheki zile game muhimu hiyo game itaangaliwa tu
Waajiri watatusamehe tu hakuna namnaDR Congo Vs Colombia tutawatazama saa 11 Asubuhi. 🤣🤣🤣 tutiangalizia kwa waajiri
duhhKwasasa hakuna umeona peru wanafanya matambiko kwa picha ya neymar aendelee kua majeruhi asicheze game msimu huu
tulioajiriwa na wahindi maisha yetu yatakuwa magumu sana ha ha ha haWaajiri watatusamehe tu hakuna namna