Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,831
- 7,458
Ivory Coast uwezo wa kumpia equador anao kama akikaza na kufanya counter attacksijui kwanini Ivory Coast haitajwi sana,
Ivory Coast uwezo wa kumpia equador anao kama akikaza na kufanya counter attacksijui kwanini Ivory Coast haitajwi sana,
Watataka kutamba kwa ivory cost wakimshampasua curacaoEcuador sio timu ngumu
Kidogo unakuja kuja kwasababu soka la Spain ni la kasi sana na wengi ni vijana hivyo hivyo kwa ufaransa izi timu nyingine zinasubiriFinal: France vs Spain
Note hii
Kabisa, na bingwa atatoka hapoKidogo unakuja kuja kwasababu soka la Spain ni la kasi sana na wengi ni vijana hivyo hivyo kwa ufaransa izi timu nyingine zinasubiri
Bingwa ni kati ya hizo timu mbiliSpain itakuwa ngumu this time.
Kikosi cha Spain umekiona vyema lakini?Spain itakuwa ngumu this time.
Msindikizaji tu yuleCuracao cha wote.
Nilikiweka hapa juzi.
Cc; Rabboni
AsanteGoalkeepers
- Unai Simón – Athletic Bilbao
- David Raya – Arsenal
- Joan García – Barcelona
Defenders
- Marc Cucurella – Chelsea
- Alejandro Grimaldo – Bayer Leverkusen
- Pau Cubarsí – Barcelona
- Aymeric Laporte – Athletic Club
- Marc Pubill – Atlético Madrid
- Eric García – Barcelona
- Marcos Llorente – Atlético Madrid
- Pedro Porro – Tottenham Hotspur
Midfielders
- Rodri (C) – Manchester City
- Pedri – Barcelona
- Fabián Ruiz – Paris Saint-Germain
- Mikel Merino – Arsenal
- Martín Zubimendi – Arsenal
- Gavi – Barcelona
- Álex Baena – Atlético Madrid
Forwards
- Mikel Oyarzabal – Real Sociedad
- Dani Olmo – Barcelona
- Nico Williams – Athletic Club
- Yeremy Pino – Crystal Palace
- Ferran Torres – Barcelona
- Borja Iglesias – Celta Vigo
- Víctor Muñoz – Osasuna
- Lamine Yamal – Barcelona
Na hivi ndivyo ilicheza mwaka jana katika kombe la EURO na ikabeba ushindi mwembamba mbele ya Italy ilifika mahala Italy anapaki basi kama arsenalGoalkeepers
- Unai Simón – Athletic Bilbao
- David Raya – Arsenal
- Joan García – Barcelona
Defenders
- Marc Cucurella – Chelsea
- Alejandro Grimaldo – Bayer Leverkusen
- Pau Cubarsí – Barcelona
- Aymeric Laporte – Athletic Club
- Marc Pubill – Atlético Madrid
- Eric García – Barcelona
- Marcos Llorente – Atlético Madrid
- Pedro Porro – Tottenham Hotspur
Midfielders
- Rodri (C) – Manchester City
- Pedri – Barcelona
- Fabián Ruiz – Paris Saint-Germain
- Mikel Merino – Arsenal
- Martín Zubimendi – Arsenal
- Gavi – Barcelona
- Álex Baena – Atlético Madrid
Forwards
- Mikel Oyarzabal – Real Sociedad
- Dani Olmo – Barcelona
- Nico Williams – Athletic Club
- Yeremy Pino – Crystal Palace
- Ferran Torres – Barcelona
- Borja Iglesias – Celta Vigo
- Víctor Muñoz – Osasuna
- Lamine Yamal – Barcelona