Kosa kubwa sanaSijui kwanini Foden na Palmer waliachwa?
Foden alikua na injury za mala kwa malaKosa kubwa sana
Wakati formation yao inataka afunge KaneEngland hawachezi kitimu. Wanagombania kufunga
Kila mtu anataka kuwa staa kuimbwa hasa huyo Jude, itawacost sanaEngland hawachezi kitimu. Wanagombania kufunga
Yeah kuna shida bekiBeki ya England inatoboka sana hlf Wachezajo wako soft soft wanaanguka hovyo
Daah uyu babu kane ni wamoto 🔥Chumaaaaaa
Ntakucheki kesho nikiwa sober mind, nina zawadi yako ShesRise_1Poker we ni mtu ya kongo😅😅
Ni shida uyu mzeeNimechelewa kuangalia hii game
Harry Kane nim deadly mbaya mbovu
Atasepa na mpira huyuDaah uyu babu kane ni wamoto 🔥
Upo mpaka mida hii😂Ntakucheki kesho nikiwa sober mind, nina zawadi yako ShesRise_1