Ilikua goli kali sanaOffside🥲
😂😂 uchawi huu sasa jamaniToa CR7
Kwa link hizi chagua kifaa chako. Ingawa JF huwa inafuta links.Mkuu hii ni App? Kwa tv inakubali au kwa simu tu?
Hana mchango😂😂 uchawi huu sasa jamani
Umepata?Mkuu hii ni App? Kwa tv inakubali au kwa simu tu?
Sisi mtu akicheza Yanga Simba na Azam inatosha.Kuna haja ya TZ kufanya jitahada za makusudi kupeleka wachezaji nje kupata exposure ya kutosha. Nchi zote za Africa zinazojitahidi players karibu wote wamezaliwa/wanacheza nje. Wachezaji wanaocheza kila siku Mashujaa au Ihefu FC hawawezi compete at highest level.
Hili wadau wameshalitambua, naamini watalitendea kazi.Kuna haja ya TZ kufanya jitahada za makusudi kupeleka wachezaji nje kupata exposure ya kutosha. Nchi zote za Africa zinazojitahidi players karibu wote wamezaliwa/wanacheza nje. Wachezaji wanaocheza kila siku na Mashujaa au Ihefu FC hawawezi compete at the highest level.
Kagusa mpira mara ngapi uyuKocha amtoe Ronaldo anaruka ruka tu
Hata tuzaliwe kwa kina Messi na Ronaldo hakuna maajabu kama unafiki wa timu ukifanikiwa sifa zinaenda pahala flani..kakikundiKuna haja ya TZ kufanya jitahada za makusudi kupeleka wachezaji nje kupata exposure ya kutosha. Nchi zote za Africa zinazojitahidi players karibu wote wamezaliwa/wanacheza nje. Wachezaji wanaocheza kila siku na Mashujaa au Ihefu FC hawawezi compete at the highest level.