Foden kwa kiwango chake siku hizi angemtoa nani pale.Sijui kwanini Foden na Palmer waliachwa?
Ubaya hauna kwaoIla kuna muda zitawarudia tu
Hizo zote ni machine, inategemea kocha amekusudia nini leoNoni Madueke anaanzaje mbele ya Saka
Na hajaanza vibaya wala.Noni Madueke anaanzaje mbele ya Saka
Hata mimi nimemshangaa Tuchel, watu muhimu kama wale unawaacha!!?Sijui kwanini Foden na Palmer waliachwa?
Penati nyepesi sanaMnnnnh, mbona penati ya mchongo sana hiyo
Tatizo injuryFoden kwa kiwango chake siku hizi angemtoa nani pale.
Haiitaji VARWhat a bombastic shot
Wanalevel score board Croatia