ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,958
- 40,066
Mapmziko kwa hisani ya watu wa JF 😃😃
Kosa kubwa sanaSijui kwanini Foden na Palmer waliachwa?
England amna timu hapaLeo ni piga nikupie
Ndio imeisha hiyo, na kocha anaogopa kumtoaRonaldo anaforce apate medali ya World cup na hataipata
Jana uliwajumuisha kwenye kundi la timu zinazopigania ubingwa.England amna timu hapa
Ngoja wapigweChumaaaaa
Binafsi naona Alexander Anold alikuwa wa muhimu sana kwenye kupiga hizi fouls na pia jamaa anakaba sanaFoden alikua na injury za mala kwa mala
Watamkumbuka sana Captain Harry Maguire
Fact ✊Jana uliwajumuisha kwenye kundi la timu zinazopigania ubingwa.
Niliacha kuwaamini hawa tangu fainali za 1998 na 2002.
Walikuwa na kikosi kikali mno, kikosi cha ndoto, lakini wapi
Fans wa pessi kwa kujikweza amjamboUkiangalia level ya football inayopigwa hapa afu ukikumbuka ligi ya NBC haijaisha na kinachochezwa ni utumbo basi unachoka tu kama Mstaafu Ronaldo (Mzee wa Tasaf)
Ukweli ni kwamba ya 2022 haikuwa na ushindani kwasababu kuna timu moja iliandaliwa kutwaa taji kwasababu za kibiashara pamoja na mchezaji wake kuwa favourite na FIFA.Sikuifatilia kwa ukaribu kama hii