comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,103
- 16,088
X1Kagusa mpira mara ngapi uyu
X1Kagusa mpira mara ngapi uyu
Tuachieni Mzee wetuKagusa mpira mara ngapi uyu
Na hilo kapiga Ronaldo muda sio mrefuMpaka dakika ya 67 Ureno kapiga mashuti mawili tu😂View attachment 3610087
Saivi kakosa goalKagusa mpira mara ngapi uyu
Kila mechi ipo hivyoHii hydration break au janja ya FIFA kuweka matangazo?
Mkuu nakuzoom toka usiku😀😀Mpaka dakika ya 67 Ureno kapiga mashuti mawili tu😂View attachment 3610087
Hata tuzaliwe kwa kina Messi na Ronaldo hakuna maajabu kama unafiki wa timu ukifanikiwa sifa zinaenda pahala flani..kakikundi
Walisema Messi kaotea..Cr7 hana siku nzuri😀😀Daaah Ronaldo leo hana siku nzuri
Kwa Nini mbona Mimi na enjoy tuDaah kuangalia mpira kwenye simu jau sana. Ngoja niache tu
Haiwezekani sie tushangilie makoo yaishe unakuja kusikia jamba jamba za wapuuzi..Hilo ni tatizo lingine. ATM hata kumcompete at this level haiwezekani let alone sifa kupewa mwingine.
Hamna kitu kama hicho yaani DRC wawe wakubwa kuliko AlgeriaMkuu nakuzoom toka usiku😀😀
Nanhiii alicheza na Underdog..hawa Congo ni wakubwaaa😀😀😀
Haiwezekani sie tushangilie makoo yaishe unakuja kusikia jamba jamba za wapuuzi..