Huamini macho yako jamaa yangu!!Goli ni zuri ila watalitapika kama wenzao Senegal jana
View attachment 3610071
Mkuu hii ni App? Kwa tv inakubali au kwa simu tu?Tumia Cricfy TV kwa sasa download version 6.8 chagua aina yako ya TV ziwe ni common brands.
England-Croatia na assume game itakuwa 🔥Safi sana. Leo hate watch mwanzo mwisho.
Nasubiri tu my players from Barca Anthony Gordon na Rashford saa tano
Ha ha haaaaaScars atalala na viatu leo
Game ya kichovu hiyo, Croatia wanafungwaEngland-Croatia na assume game itakuwa 🔥
Mpira ndio ushaukosa ivo!?Mkuu hii ni App? Kwa tv inakubali au kwa simu tu?
Messi asifananishwe na vitu vya kiduniaRonaldo ni wa moto sana na hii world Cup anabeba... hapa unafiki mwanzo mwisho maana ukisema Messi ni G.O.A.T watu wana-mind.
Croatia sio wa spoti spoti naoGame ya kichovu hiyo, Croatia wanafungwa
Team imejaa wazee sahv hakuna maajabuCroatia sio wa spoti spoti nao
Umeuliza kwa TV mkuu. Kama una Google TV download na install hiyo apk (app).Mkuu hii ni App? Kwa tv inakubali au kwa simu tu?