Wameamka bhana😂Mie hata sikuwatarajia kuwa hivi. Lol
Utajua hujui.Wanarudishaje dk za majeruhiiii
Karibu Argentina kwa udhamini wa Yoane WissaYaani acha kabisa. Mkiwa kama Mabingwa watetezi ule ni mwanzo mzuri.
Mpaka sasa natembea na Germany Mtani, ikitokea siku akatolewa basi ntatafuta nyingine ya kumalizia nayo. 😂
KibabeTunaenda half time namna hii
Shukuru hata kwa hiko kidogoWeme chomoa lakini sioni kama wana nia ya ushindi blunder nyingi sana
Kipindi cha pili watapoteana haoWamesawazisha, huenda wakatoboa
Wana uzi wao huko😀😀😀Karibu Argentina kwa udhamini wa Yoane Wissa
Tumia Cricfy TV kwa sasa download version 6.8 chagua aina yako ya TV ziwe ni common brands.Mkuu hii nawezaje kuangalia kwa kutumia Smart tv? Nimejaribu kuandika Fawanews kwa browser sijaipata mechi.
Ila washawa trigger Portugal, wacha tuone reaction itavokua second halfKipindi cha pili watapoteana hao