2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Dah Messi yako umeitoa kama vile upo upande wa Algeria… nikadhani upo uzalendo kama uran

Hivi zile hesabu za algebra zilitokaga kwao? 😁😁 na na hapa wanashindwa kuzitumia
Licha ya Uzalendo hawa Argentina hawapo hata kwenye 10 zangu!!

Sijui Ndugu zetu wa karibu kabisa wana Afrika mashariki watafanye hiyo saa mbili usiku dhidi ya Ureno! Wenye uchu na kombe.
 
Back
Top Bottom