Uzalendo sometimes achana nao 😁Anatuaibisha miafrika.
Jamaa wanajua mno..sisi sasaKhaaa!!
Yaani kumchukia Messi ni vigumu sana kwa kweli!
Na hiyo ndo tofauti ya nchi za Kiafrika na nchi za mabara mengine.
Wao wakipata fursa, wanafunga!
Bora mana anaweza shinda hata sita huyo peke yake😀😀Kapumzike babaa😁😁🩵
Wa wenye njaaVijana wameingia kwenye mfumo
Wamebakizwa wahuni..😀😀Na Wanamtoa sasa...
Akapumzike
Kuna muda uzalendo hautakiwi.. 😁Dah Messi
TayariKupanic wapi nini hajui kuhusu mpira yule😀😀hawana utulivu ....kuna Jitu linataka hattrick huku😀😀
Hahahaaa sisi tuna laana aisee.Jamaa wanajua mno..sisi sasa