2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ila kushabikia timu za Afrika yataka moyo sana.

Ni kama vile wachezaji wa Kiafrika IQ yao ya soka ni ndogo.

Nchi zingine wakipata fursa ya kufunga magoli, wanafunga magoli.

Timu za Kiafrika zikipata fursa za kufunga magoli, zinafanya madudu tu.
Bora umeliona hilo..Senegal jana magoli mawili ya wazi
 
Back
Top Bottom