😁😁Ni mwendo wa kumute sauti tu ukianza kusinzia..Aisee hii michezo sio mchezo.
Mimi sikuzima tv, akili yangu ndio ilizima tu
Tulia wewe,..Natamani Algeria washinde hii game
Wakaze inawezekanaNatamani Algeria washinde hii game
Unatuliza tamaa za jamaa..Messi tayari huko😀😀Tulia wewe,..
Ukute jamaa kasinzia hajaona Messi alivyoimalizia chap chap dadeq 😀Unatuliza tamaa za jamaa..Messi tayari huko😀😀
Wanaojua wanajua tu..goli hili la Messi ndio ile kima ya Senegal ilikosa jana..😀😀😀Ukute jamaa kasinzia hajaona Messi alivyoimalizia chap chap dadeq 😀
Usiyemtaka kaja usiku usiku😀😀
Anamtia Pressure tu Kaka wa watu na Congo baadae😀😀😀Messi kashindikana huyu bwana.
Tupo macho..hakuna usiku kwa wapenda mpiraBongo hizi games mnaangalia usiku kichizi. Kiwanja tunaangalia muda rafiki. Kuimba kupokezana
Yule miyeyusho, upo karibu na goal lkn unachagua kutungua mnazi kweliii… au alipanick kuona nafasi hii hapa akabutua tuWanaojua wanajua tu..goli hili la Messi ndio ile kima ya Senegal ilikosa jana..😀😀😀