Yule Jackson pale mbele hakutakiwa awepo uwanjan hadi mda huuExactly
Hawana mtu mzuri wa kumalizia jmn
Hana tofauti na Gaudence MwaikimbaYule Jackson pale mbele hakutakiwa awepo uwanjan hadi mda huu
Kwa huu upuuzi wa simba na Yanga???thubutuHivi kuna siku na sisi tutacheza wedi kapu?
Sidhani aisee
Siasa kakaMakonda alisema 2030 tutacheza
Duh imeniumaDk 76
France 1
Senegal 0
Aah ht Senegal wamecheza ht km sijui mpiraHii Ufaransa ni tishio wakuu
Mkisikia silaha za nyuklia ndio hizi sasa.
Mabeki wetu wamechoka na sasa ndio anaingia Barcola