Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Aah ht Senegal wamecheza ht km sijui mpiraHii Ufaransa ni tishio wakuu
Mkisikia silaha za nyuklia ndio hizi sasa.
Mabeki wetu wamechoka na sasa ndio anaingia Barcola
Wamepambana
Aah ht Senegal wamecheza ht km sijui mpiraHii Ufaransa ni tishio wakuu
Mkisikia silaha za nyuklia ndio hizi sasa.
Mabeki wetu wamechoka na sasa ndio anaingia Barcola
Yes hapo tu ndo shidaMalick Diouf anapiga sana mitungi ila Senegal hawana teka pale mbele
Au wamechoka?Kabisa...
Chuma cha pili
HatuwadaiAah ht Senegal wamecheza ht km sijui mpira
Wamepambana
MmhMbinu za Wafaransa