Wadau kuna mwenye link ya match anipatie
Faulo nyingi Sana Senegal wamechezewa refa kapeta, France watumie nguvu kushinda Ila si penalt.Naungana na Mwamuzi
Sio mzuri sana, nilikuambia Mastraika wa Ufaransa wana kasi sana wakiamua...na Watatuzidi kwa mbinu kama kawaida ya makocha wa kizunguDoue anataka nini kwetu?
Azuiwe kwa nguvu