Nimeikubali aiseKwa hii defence ya Senegal Wale wa kuwekeza draw uhakika
Game ina speed sana, watu hawaangalii muda mara halftime hii hapa 😀😀😀Gafla tu DK 45....
2min remainDakika 6 added time
Pasi za Wasenegali hazieleweki kabisa!Utulivu mwanetu
Huyu dogo Kuna namna hayupo seriousAmekosaaaaa