leo mabingwa wa africa wanacheza hawawezi kutuangusha dhidi ya waafrica wenzao walio lowea ufaransa
Mabingwa wa Africa ni Senegal bwasheemabingwa wa Africa ni Morocco ndugu
Nadhani WC hii Mbappe anaenda kuwa Top Scorer wa muda wote.
View attachment 3609293
Hao ni mabingwa wa mezani kama tume ya sisiemmabingwa wa Africa ni Morocco ndugu
Ndioo hivyo. Pia nipo neutral.Sema unabakia kuwa Mwafrika lakini
Aiseekiukweli mimi sielewi chochote kuhusu mpira ila nafurahi yanga ikifungwa🤭😎