Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Aah wapi wamepambanq aiseeNa kwa hali ilivyo sasa Egypt anahali mbayaa
Bila huyo lukaku walikuwa chali
Hahah
Aah wapi wamepambanq aiseeNa kwa hali ilivyo sasa Egypt anahali mbayaa
Nawe umoAah wapi wamepambanq aisee
Bila huyo lukaku walikuwa chali
Hahah
Jamaa kawapa motisha, naona hapa Egypt nao wanapeleka moto dk za mwishoAah wapi wamepambanq aisee
Bila huyo lukaku walikuwa chali
Hahah
Sijaangalia hilo goli limefungwaje ila kwenye score board wameandika ni OGHili goli la Lukaku hatutakunywa maji🤣🤣
YapJamaa kawapa motisha, naona hapa Egypt nao wanapeleka moto dk za mwisho
Yeah FTFull time Bel 1 vs Egy 1
YeahNawe umo
Ngoja nimsubiri Uruguay na SaudiaYeah FT
Ukalale, huna usingiziNgoja nimsubiri Uruguay na Saudia
Technically Egypt walitulia sana. Hawakuwa na expectations kubwa ndo maana game wameimuduYap
Ila kiukweli walikuwa wasahazidiwa
Duh sijui kama nitaweza. Tatizo ikiisha unaanza itamani ya saa 10Ngoja nimsubiri Uruguay na Saudia
Nayo ni ya moto, ila Uruguay siipendi tu naturallyOya hii ya saa 7 mnacheki?
Hamna mkuu, masaa mawili ya kulala yananitosha kwahiyo game ya saa 7 ikiisha saa 9 nikalala mpaka 11 unusu inatosha kabisaUkalale, huna usingizi
Hajafunga LukakuHili goli la Lukaku hatutakunywa maji🤣🤣