T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,783
- 46,609
Lukaku ana mapepo. Ila Misri inajiamini sana kwenye mechi hii.
Black mamba kashangiliwa kuingia kabla hawajamaliza kumshangilia kuingia akafunga. Mashabiki wakaunganisha shangilio 😀Touch ya kwanza ya black Mamba lukaku inaingia kambani
Jamaa kwenye finishing tuu anapepo yakeBlack mamba kashangiliwa kuingia kabla hawajamaliza kumshangilia kuingia akafunga. Mashabiki wakaunganisha shangilio 😀
Streka mijasho Leo siku yake anaweka la ushindiBlack mamba kashangiliwa kuingia kabla hawajamaliza kumshangilia kuingia akafunga. Mashabiki wakaunganisha shangilio 😀
Na alikuwa hana dakika ila tiyari amelowa jasho. Kaweka mwiliStreka mijasho Leo siku yake anaweka la ushindi
Uyo anakaaga mbele hadi mnajisahau mnajua ni bekiBlack mamba kashangiliwa kuingia kabla hawajamaliza kumshangilia kuingia akafunga. Mashabiki wakaunganisha shangilio 😀
Hiyo ni sawa na kazi ya uchimbaji dhahabu.Sahihi sana, ukitafakari sana karibu kila kitu kwenye maisha ni kubahatisha tuu, mtu unafungua duka asubuhi huku ukiwa hujui nani atakuja kununua
Na kwa hali ilivyo sasa Egypt anahali mbayaaBelgium 🇧🇪 wamechomoa dahh
Kuna header moja hapaNa kwa hali ilivyo sasa Egypt anahali mbayaa