Nakushauri tu unge cashout uchukue tu hiyo hiyo bukuHawa Cabo Verde wanalia Sio muda.
Ingekua furaha sana ,niwe mkweli siipendi spain kabisaNatamani Cape Verde wapige moja
App gani hii,tupe link
InshaalaahNatamani sana hii game iishe hivi hivi
Link nimetembeza sana huko juuApp gani hii,tupe link
Hapana Mtani. Hii naangalia.Hadi hii ya Saa moja?
Yaani. Ila tutafika tu.Sio mchezo kabisa
Kushikilia bomba dkk 90 sio mchezo Mtani.Nawaona kama vile wanetu wako hoi sasa