Jana kazingua sana carlo...raphinha mapema tuu alionekana hayuko match fitHiyo line ya Mwisho umemaliza kibabe sana.
Mtu kashakula chuma tatu na NI kipindi cha Kwanza 😂😂😂😂
Hapa hamna mpira tusubili holland dhidi ya japanHayaaaaaaa
Chuma cha Nnee
Curaçao watatiwa zakutosha leoDah!! Hapana aisee
Dahhhh!Beki yao haiwezi kuhimili kasi ya wajerumani
SanaUjerumani wana roho mbaya