Kumbe Morocco inapatikana bara gani?Morroco sio waafrika , Africa ni bara la giza na hakuna team yoyote ya Africa itafika mbali
It means, hata nguo huwa unafua usiku kwa usiku πππππ yaani hadi hii world cup iishe ntakuwa natembea huku nasinzia....imagine saivi nipo macho na saa mbili kamili asubuhi natakiwa niwe kibaruaniπ
Nlisema jana ππ»Na wasiwasi sana hii game ya
Brazil vs Morocco matokeo ni Draw
Ongeza na spain na FranceTiki mbili means ndio chama lako
Iran anacheza Jumanne saa 10:00 alfajiri kwa saa za huko Bongo (04:00am) yani Jumatano kuamkia alfajiri inayofuata ya Jumanne,Nasubiri mechi ya Iran sijui wanacheza lini wenzao US kashacheza na ushindi mnono
Australia ashampiga mturuki moja kipindi cha kwanzaNimeamka niwaangalie Mloganzila na Australia
Kwenye Afconhakuwepo naona ni usajili mpya alikiwasha ile mbaya jana
Nafuaga alfajili πππIt means, hata nguo huwa unafua usiku kwa usiku ππ
Bado mapema sana, kumbuka Argentina 2022, mechi ya kwanza walifungwa na Saudi arabiaBrazil ameonesha mpira wa kawaida. Siwaoni wakifika nusu.
Wanajipigia mtu hapo..tupo Ibadani..Pastor katupa UpdateNimeamka niwaangalie Mloganzila na Australia
Huyo jamaa ni motoo...ππ