comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,125
- 16,131
Waangazaj wa azam hawavutii kutangazo mechi kma hizi, wao wamezoea Cha ndimu
Labda huyo Enrique kama ana kasiTuone sasa
Sasahv haizidishia rangi imekua mbichi zaidiAppearance yake Inachangia pia, ameipaka rangi vizuri ila ndani kuna unyonyaji fulani 😀
Rafinha vipiTatizo timu haina mchezaji mwenye ckaliba ya Bruno
Kwenye DStv unachagua tu, kiswahili na lugha nyingineWaangazaj wa azam hawavutii kutangazo mechi kma hizi, wao wamezoea Cha ndimu
Raphina ni mchezaji mzuri ila ni winga hivyo ile role halisi ya number 10 hanaRafinha vipi
Hata azam sport 4 ni EnglishKwenye DStv unachagua tu, kiswahili na lugha nyingine