2025 ni zamu ya Kigoma, tumecheleweshwa mno

Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe.

Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi kuunganishwa na Kakonko,bado Kakonko-Kibondo-Kasulu ili Kahama iwe imeunganishwa na kigoma.

Maji ya uhakika bado ni changamoto. Watu wa Kagera, Rukwa na Kigoma tumeambiwa tutatumia hospitali ya rufaa Chato umbali ukiwa ni mamia ya kilomita.

Sasa nadhani 2025 ni zamu yetu watu wa kigoma kutoa Rais ili na sisi tupae kwa kasi. Kigoma iliahidiwa kuwa Dubai kabla hata ya kusemwa Chato kuwa jiji kama Wuhan.

Watu wa kusini inabidi tuingie makubaliano, mtuunge mkono 2025 na sisi tutawaunga mkono 2035. Bila hivyo tutaendelea kuyasikia kwenye Bomba hayo maendeleo ya kweli.
Naunga mkono hoja hii
 
Ni kweli aisee huko wamewaonea sana. Sioni Dodoma inaizidi nini kigoma kwa rasilimali
Dodoma na Singida vinabebwa na jiografia kwani huwezi kutoka Dar to Mwanza bila kupitia mikoa hiyo au Arusha to Mwanza.
Kigoma pia inaangushwa na jiografia kwa kuwa pembeni mwa nchi.
Lakini sio vibaya nanyi mpate rais ili ahamishie Madini ya Tanzanite na bahari Kigoma...kwani Chato wanawazidi nini buana hata msiweze?
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe.

Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi kuunganishwa na Kakonko, bado Kakonko-Kibondo-Kasulu ili Kahama iwe imeunganishwa na kigoma.

Maji ya uhakika bado ni changamoto. Watu wa Kagera, Rukwa na Kigoma tumeambiwa tutatumia hospitali ya rufaa Chato umbali ukiwa ni mamia ya kilomita.

Sasa nadhani 2025 ni zamu yetu watu wa kigoma kutoa Rais ili na sisi tupae kwa kasi. Kigoma iliahidiwa kuwa Dubai kabla hata ya kusemwa Chato kuwa jiji kama Wuhan.

Watu wa kusini inabidi tuingie makubaliano, mtuunge mkono 2025 na sisi tutawaunga mkono 2035. Bila hivyo tutaendelea kuyasikia kwenye Bomba hayo maendeleo ya kweli.
Hoja za kipuuzi na kikabila na kikanda

It's not about rais atoke wapi.... It is about rais aweje

Nalaabuk
 
We huoni Chato walivyojaziwa mamiradi ya maendeleo hata yasiyohitajika kwa mazingira ya sasa!Si vibaya na yeye akataka Rais awe wa kutoka kwao ili nao wapate mamiradi ya upendeleo!
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe.

Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi kuunganishwa na Kakonko, bado Kakonko-Kibondo-Kasulu ili Kahama iwe imeunganishwa na kigoma.

Maji ya uhakika bado ni changamoto. Watu wa Kagera, Rukwa na Kigoma tumeambiwa tutatumia hospitali ya rufaa Chato umbali ukiwa ni mamia ya kilomita.

Sasa nadhani 2025 ni zamu yetu watu wa kigoma kutoa Rais ili na sisi tupae kwa kasi. Kigoma iliahidiwa kuwa Dubai kabla hata ya kusemwa Chato kuwa jiji kama Wuhan.

Watu wa kusini inabidi tuingie makubaliano, mtuunge mkono 2025 na sisi tutawaunga mkono 2035. Bila hivyo tutaendelea kuyasikia kwenye Bomba hayo maendeleo ya kweli.
Duuu umeandija kwa uchungu sana,,, Jambo la msingi ni kwamba kigoma ikumbukwe,,,nimepita juzi njia zote kuanzia Tabora Kigoma,,then Kigoma Nyakanazi,,,nilishangaa kiukweli
Barabara ya Nyakanazi kakonko nilipita mara ya mwisho 2016 October kipande kilichokamilika kweli ndio hicho tu??? Daraja la mpakani pale tangu 2016 mpaka leo halijaisha,,na quality ya barabara ile sijui maana kwa macho ya kawaida tu inatia wasiwasi sana
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe.

Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi kuunganishwa na Kakonko, bado Kakonko-Kibondo-Kasulu ili Kahama iwe imeunganishwa na kigoma.

Maji ya uhakika bado ni changamoto. Watu wa Kagera, Rukwa na Kigoma tumeambiwa tutatumia hospitali ya rufaa Chato umbali ukiwa ni mamia ya kilomita.

Sasa nadhani 2025 ni zamu yetu watu wa kigoma kutoa Rais ili na sisi tupae kwa kasi. Kigoma iliahidiwa kuwa Dubai kabla hata ya kusemwa Chato kuwa jiji kama Wuhan.

Watu wa kusini inabidi tuingie makubaliano, mtuunge mkono 2025 na sisi tutawaunga mkono 2035. Bila hivyo tutaendelea kuyasikia kwenye Bomba hayo maendeleo ya kweli.
Kwa Chama gani Cha siasa?Mngelimshauri Zitto aache tamaa ya madaraka mngelikuwa pazuri sana.
 
Kweli hicho kipande cha Nyakanazi Kibondo wakiangalie vizuri,,, Engineer wanaweza comment lakini kwa macho ya kawaida jamani inatia mashaka Sana,,just mitazamo tu
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe.

Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi kuunganishwa na Kakonko, bado Kakonko-Kibondo-Kasulu ili Kahama iwe imeunganishwa na kigoma.

Maji ya uhakika bado ni changamoto. Watu wa Kagera, Rukwa na Kigoma tumeambiwa tutatumia hospitali ya rufaa Chato umbali ukiwa ni mamia ya kilomita.

Sasa nadhani 2025 ni zamu yetu watu wa kigoma kutoa Rais ili na sisi tupae kwa kasi. Kigoma iliahidiwa kuwa Dubai kabla hata ya kusemwa Chato kuwa jiji kama Wuhan.

Watu wa kusini inabidi tuingie makubaliano, mtuunge mkono 2025 na sisi tutawaunga mkono 2035. Bila hivyo tutaendelea kuyasikia kwenye Bomba hayo maendeleo ya kweli.
Ubaguzi wa kikabila au kikanda haukubaliki.Tutaangamiza taifa letu.Bora tukomalie katiba mpya inayoendana na umri na mahitaji ya taifa letu.
 
Back
Top Bottom