2025 ni zamu ya Kigoma, tumecheleweshwa mno

Dodoma na Singida vinabebwa na jiografia kwani huwezi kutoka Dar to Mwanza bila kupitia mikoa hiyo au Arusha to Mwanza.
Kigoma pia inaangushwa na jiografia kwa kuwa pembeni mwa nchi.
Lakini sio vibaya nanyi mpate rais ili ahamishie Madini ya Tanzanite na bahari Kigoma...kwani Chato wanawazidi nini buana hata msiweze?
kigoma imepakana na rwanda, burundi, congo, uganda yaani palitakiwa pawe bonge moja la mji wa kibiashara, watu wasingekua wanatokanchi hizo kuja dar lakini ndo ivo tena
 
Mnaweza pata Rais kutoka Kigoma na bado mkatoka zero,kusini walipata Rais na wakatoka zero.kuna makabila yenye passion ya maendeleo na kuna makabila hata uwape hazina ya fedha wajiletee maendeleo kazi bure,ni kurogana/gambe/ngoma n,k
 
Me nadhani KILA mkoa uwe unatoa raisi Ili ajenge kwao labda ndio njia mpya kuleta maendeleo Tza.Kwa staili ya mcheza kwao ni miaka 25 tu tza itaizidi ulaya
 
Ubaguzi wa kikabila au kikanda haukubaliki.Tutaangamiza taifa letu.Bora tukomalie katiba mpya inayoendana na umri na mahitaji ya taifa letu.
Tumekuwa kimya muda mrefu,tunaona kama sisi ni wasindikizaji tu!Sasa 2025 ni zamu yetu watu wa Kigoma!Akitoka huku watu wa Rukwa na Kagera nao watanufaika maana ni majirani zetu!
 
Hoja za kipuuzi na kikabila na kikanda

It's not about rais atoke wapi.... It is about rais aweje

Nalaabuk
Kwani huyu wa sasa yukoje?Mbona kwao pananeemeka kwa kasi ya 4G?
2025 ni zamu yetu wana Kigoma!
 
Msije kuleta mhutu mkasema ni muha..
Sifa zinaeleweka na Tume ya uchaguzi hukagua vielelezo ili kujiridhisha kama masharti na vigezo vimefikiwa!2025 ni zamu yetu wana Kigoma!
 
Sifa zinaeleweka na Tume ya uchaguzi hukagua vielelezo ili kujiridhisha kama masharti na vigezo vimefikiwa!2025 ni zamu yetu wana Kigoma!
Kwani huyu wanaedai ni mhutu alipitishwa na nani? hatutaki tabia za ajabu ajabu kwenye nafasi kubwa kama ya urais...tena nyie wa mipakani ni vigumu sana kuwafanyia vetting kujua asili yenu hasa.
 
Back
Top Bottom