2025 ni zamu ya Kigoma, tumecheleweshwa mno

Hiyo barabara imechukua decades!Wenzetu wanaenda kwa kasi sisi tunachechemea!Hiyo ndiyo Barabara ya kwanza Kigoma kuunganishwa na Mkoa kwa lami,nadhani ndio mkoa wa mwisho kupata barabara ya lami kuunganisha na mkoa mwingine!
mkuu yajayo yanaweza kufurahisha
 
Urais ni nafasi ya kisiasa ambayo sifa kubwa ni ile iliyoko katika katiba ya nchi, hatutafuti rais kupitia kushindanisha usomi
= Kanda ya ziwa ilishapata Rais Mwl Nyerere, na Dkt John Pombe Magufuli

= Kanda ya kusini ilishapata Rais Hayati Ben Mkapa,

= Kanda ya Kaskazini ilishapata Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, na Mzee Mwinyi

Kanda ambazo bado
= Kanda ya magharibi (Kigoma, Tabora na Katavi)
= Kanda ya kati (Singida na Dodoma)

Kwa hiyo kigoma ni halali kipindi hiki kupata kiongozi mkubwa
Wamekusikia
 
Ninyi mi watu vigeugeu na wasaliti! Hakuna mtu anaweza kuwapa nchi. Angalia Kina Kabwe, Kafulila nk. Ni ujinga mtupu!
 
Hawezi kupewa uraisi kaa kwa kutulia
Kwa hali ilivyo sasa inabidi Kigoma ipate Rais 2025 walau na huku tukumbukwe.

Maana bila Rais kutokea huku, maendeleo yataendelea kusuasua. Imechukua zaidi ya miaka 10 kwa kipande cha Nyakanazi kuunganishwa na Kakonko, bado Kakonko-Kibondo-Kasulu ili Kahama iwe imeunganishwa na kigoma.

Maji ya uhakika bado ni changamoto. Watu wa Kagera, Rukwa na Kigoma tumeambiwa tutatumia hospitali ya rufaa Chato umbali ukiwa ni mamia ya kilomita.

Sasa nadhani 2025 ni zamu yetu watu wa kigoma kutoa Rais ili na sisi tupae kwa kasi. Kigoma iliahidiwa kuwa Dubai kabla hata ya kusemwa Chato kuwa jiji kama Wuhan.

Watu wa kusini inabidi tuingie makubaliano, mtuunge mkono 2025 na sisi tutawaunga mkono 2035. Bila hivyo tutaendelea kuyasikia kwenye Bomba hayo maendeleo ya kweli.
 
Aman Walid A. Kabourou (RIP)
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Abdul Nondo
.....................
Ongeza na wengine wenye mlengo kama huo kutoka Kigoma!
 
Kama waha bado mna fikira kwamba dereva wa treni anaweza kuwa ni chuma, hivi mnaweza kutoa potential candidate kwenye nafasi ya urais. Anzeni kupunguza ushamba na ubishi usio na maana..
Muha na msukuma yupi mshamba zaidi?
 
Back
Top Bottom