Naunga mkono hoja! Watu wa Kigoma wamesahaulika sana!Ni kweli aisee huko wamewaonea sana ,sioni dododma inaizidi nini kigoma kwa rasilimali
Jimbo lake ni dogo sana katika mkoa mzima wa Kigoma!Mchawi wenu huyu hapa....kilia msimu wa uchaguzi lazima apeleke mtu sokoni kwa vipande ishirini vya fedha!
View attachment 1676194
Sisi tunataka Rais Muha mzawa wa Kigoma 2025, naamini ndugu zetu kusini watatuunga mkono kwani wote ni wahanga wa kunyimwa maendeleo!Eti mna waziri wa fedha ambaye hajawahi kuitetea Kigoma kwa kauli wala vitendo! Vivyo hivyo kwa waziri wa elimu (profesa asiyejua kiingereza!).
Nadhani jamaa anataka short cut kama waliyopitia Chato kujazwa miradi mingi ya maendeleo😁😁😁!Naunga mkono hoja! Lakini siyo lazima Rais atoke mkoa wa Kigoma ndiyo maendeleo yaje! Kilimanjaro anagalau watu wake wana maendeleo lakini tangu nchi ipate uhuru haijawahi kutoa Rais hata mmoja.
Kama waha bado mna fikira kwamba dereva wa treni anaweza kuwa ni chuma, hivi mnaweza kutoa potential candidate kwenye nafasi ya urais. Anzeni kupunguza ushamba na ubishi usio na maana..
Ila tumeona mfano kwa Chato wa namna rahisi zaidi ya kupata maendeleo!Naunga mkono hoja! Lakini siyo lazima Rais atoke mkoa wa Kigoma ndiyo maendeleo yaje! Kilimanjaro anagalau watu wake wana maendeleo lakini tangu nchi ipate uhuru haijawahi kutoa Rais hata mmoja.
Acha dharau kijana,kigoma tuna wasomi wengi wenye sifa za kuongoza nchi!Kama waha bado mna fikira kwamba dereva wa treni anaweza kuwa ni chuma, hivi mnaweza kutoa potential candidate kwenye nafasi ya urais. Anzeni kupunguza ushamba na ubishi usio na maana..
Mna wasomi kuzidi mkoa wa Mara, utakuwa umevimbewa migebuka mtani wangu. Anyway, nawaunga mkono kwenye hili..Acha dharau kijana,kigoma tuna wasomi wengi wenye sifa za kuongoza nchi!
2025 Rais anatoka Kigoma!