Wewe si uko Marekani? Sijawahi kufika Marekani ila najua kuwa Marekani ipo. Sijui kilipo na wala namba yake siijui, ila najua kuwa kipo. Mimi kutokujua namba ya kifungu cha sheria, hakukifanyi kifungu hicho kutokuwepo, kama kipo. Mimi kutokuwahi kuiona Marekani, hakuifanyi Marekani isiwepo,,,,, unanipata?Umeelewa swali lakini?
Umeombwa kifungu cha katiba kinacho back up maelezo yako.
Ni kifungu gani?
Mimi sipo Marekani. Mimi nipo Ikungulyabashashi, Simiyu.Wewe si uko Marekani? Sijawahi kufika Marekani ila najua kuwa Marekani ipo. Sijui kilipo na wala namba yake siijui, ila najua kuwa kipo. Mimi kutokujua namba ya kifungu cha sheria, hakukifanyi kifungu hicho kutokuwepo, kama kipo. Mimi kutokuwahi kuiona Marekani, hakuifanyi Marekani isiwepo,,,,, unanipata?
Ni kweliKatiba ipo wazi. Mwisho ni mihula miwili.
Ni wale wanaonufaika na uwepo wake madarakaniKuna watu watakuwa disappointed sana Magufuli akimaliza muda wake 2025.
Umeona adhabu aliyopewa na wajumbe wa CCM na wale wa klabu ya Simba sc?Juma nkamia
Umeelewa swali lakini?
Umeombwa kifungu cha katiba kinacho back up maelezo yako.
Ni kifungu gani?
Na ‘kupigana’ ni nini?Kipo, lakini ni wakati tu pale nchi inapokuwa inapigana vita dhidi ya adui. Soma Ibara ya 42(4)!
Hata hivyo, Katiba haijatoa definition ya neno “adui”. Kwa hiyo, it’s wide open to subjective interpretation. COVID-19, natural calamities, etc. vyote vinaweza kutafisriwa kama adui.
Mbona umeshajibu upuuzi wako(uzi)Kwani mtu hawezi kubadili mawazo?
Na ‘kupigana’ ni nini?
‘Vita’ nayo ni nini?
Hukumsikia Rais mwenyewe siku ile akisema kuwa hata marehemiu Kijazi (RIP) alikuwa ameshaastaafu ila akawa amemuongezea muda? Katiba inaruhusu hilo na wapo watumishi wengi tu wa ngazi za juu wanaoongezewa muda kila kukicha. Hatujawahi kuongeza muda kwa hawa walioko ngazi za juu sza mwisho na ndiyo maana tunadhani hairuhusiwi. Katiba hairuhusu kuongeza muhula kwa sababu inaruhusu mihula miwili tu, ila haikatazi kuongeza muda. Kuongeza muda na kuongeza muhula ni vitu viwili tofauti. Ukitaka kuongeza muhula, inabidi ubadilishe Katiba, ila muda wengi tu wanaongezewa kila kukicha, fanya uchunguzi
Kuna clip ipo humu mitandaoni ikimuonyesha Bashiru akiapa kuwa hatukubali akipewa nafasi nyingine zaidi ya huo ukatibu mkuu. Kama Magufuli hana nia kujiongezea muda, ni kwanini amchague mtu aliyekiri mbele yake, na hadharani kuwa hayuko tayari kupatiwa nafasi nyingine tena?
Hii katiba yetu ukiisoma kwa makini na jicho la uchanganuzi, utaona dosari nyingi sana.Hakuna definitions ya hivyo vyote kwenye Katiba; almost anything goes!
No decision is valid at all times and under all circumstances! Vipi, umeshasauhau mwaka 2015 jinsi CDM walivyobadili misimamo yao dhidi ya Lowassa?
Nimekuelewa, ila unachosha akili. Tuna hesabu mihula kwa miaka au? Unapo amua kuongeza siku za utawala, kipi kina ongezeka tofauti na mihula?Mtu akiongezewa muda, kipindi kile alichoongezewa hakihesabiki kuwa ni muhula wa pili, hapana. Kitahesabika kuwa ni kipindi cha nyongeza. Kinachoongezeka kwenye mihula miwili hakiitwi mhula wa tatu, bali kipindi cha nyongeza. Nyongeza Kikatiba inaruhusiwa, kisichoruhusiwa ni mihula zaidi ya miwili! Kikatiba, ni sahihi kabisa mtu kuongezewa vipindi vingine vinavyoweza kufikia hata juma ya miaka 7 au zaidi, lakini ni makosa makubwa mtu kuongeza muhula hata mmoja tu!
MmmmmmhSijaelewa ni kwanini kuna watu wanauhusisha uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi na Rais Magufuli kuongeza muda kuiongoza Tanzania kwa zaidi ya mihula miwili.
Dkt. Bashiru amewahi kunukuliwa akisema kuwa anapendelea iwe hivyo? Yaani Rais Magufuli aongezewe muda wa kutawala?
Au ni kiwewe tu cha wasiompenda Magufuli? Maana kiwewe huwa kinavuruga akili ya mtu.
Kiwewe kinaweza kumfanya mtu aione 1 ni 3 na 3 ni 2!
Kiwewe kinaweza kumfanya mtu alione giza ni mwanga na mwanga ni giza, salamu ni tusi na tusi ni salamu.
Halafu ni kama vile kuna watu wanaombea Magufuli kweli aongezewe au aongeze muda ili wapate sababu za kumsema na kujipatia vijipointi vya kisiasa.
Na asipojiongezea, watu hao watakuwa disappointed sana maana atakuwa ‘kawaangusha’.
Mimi bado naamini endapo ataendelea kuwa mzima, basi ataongoza kwa idadi ya mihula inayoruhusiwa na katiba tuliyonayo sasa.
Otherwise, uhusiano wa Dkt. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi na uongezwaji wa muda Rais Magufuli kuendelea kuwa Rais ni nini?
Kwa hiyo tukubali kuwa lolote linawezekana, mfano kwa wakati huu ninaweza sema sitoongeza muda na kipindi changu kikiisha nang'atuka, ila baadae ninaweza sema kwakuwa moja, Mbili na tatu hazijakamilika basi naongeza muda.Ile ilikuwa na kauli ya ndani ya chama......ameteuliwa kuingia serikalini.
Na pia hata kwa ustaarabu tu wa kawaida.....asingeweza kumkatalia Rais wa nchi na kwa nafasi nyeti kama ile.
Kingine,mwanasiasa akisema kitu,angalia nyakati na mazingira.
Mwaka 2010 Kiwete alibana na Slaa akajikuta anaahidi kila kitu. Yaani hata angekuta dimbwi mahali angeweza kuahidi meli. Zilikuwa nyakati ngumu na mazingira magumu ya siasa za wakati huo.
Kwa wakati Bashiru anatoa kauli ile....tulikuwa tunaelekea uchaguzi mkuu.....analikuwa anasisitiza jambo.
Hapo kwa Bashiru ni nafasi ya kuteuliwa. U Rais ni nafasi ya kuchaguliwa,na ina ukomo wake kikatiba. Uteuzi wa Bashiru ni matakwa ya mtu(Rais),hapakuitishwa kura ya maoni au kujadiliwa na bunge.Kwa hiyo tukubali kuwa lolote linawezekana, mfano kwa wakati huu ninaweza sema sitoongeza muda na kipindi changu kikiisha nang'atuka, ila baadae ninaweza sema kwakuwa moja, Mbili na tatu hazijakamilika basi naongeza muda.
Nilichogundua tatizo kubwa halipo kwa viongozi bali lipo kwetu sisi wafuasi au niseme mashabiki wa mtu au chama.
Tunashindwa kuwa na misimamo na zaidi tunaendeshwa na ushabiki.