Tunaendelea na count down ya kombe la dunia makala ya 22 ya kombe dunia toka la dunia kwa upande wa wanaume lianze kuchezwa kuanzia mwaka 1930


Hizi ni nchi zilizowahi kutwaa kombe la dunia

Agentina *2


Italy *4

Ujerumani *4

Uruguay *2


Uingereza *1

Uruguay *2

Brazil *5



Ufaransa *2

Ni mabara mawili tu ulaya na amerika kusini ndio wanamiliki kombe la dunia


Mabara yaliyobaki yote hayajawi kuvuka robo fainali ikiwemo africa

Ila awamu hii africa imejitutumua kuingiza timu mbili kwenye hatua ya mtoano maarfu km kumi na sita bora ambazo ni senegal na Morocco akiongoza kundi kwa mara kwanza ktk historia

Usiku wa leo na kesho pia Ghana km atamgaragaza uruguay naye ataungana na senegal na Morocco na kuweka history kwa mara ya kwanza

Ndugu wengine wa africa cameroon hawapewi nafasi kutokana na kuwa inakutana na majogoo wa mpira duniani wote tunakuja sio kazi rahisi kuifunga brazil hata kile kikosi ambacho hakijaorodheshwa kwenye kombe la dunia

Maombi ya wanasoka africa ni kuwa

Ureno atandikwe na wakorea na ghana imtandike uruguay

Ili ghana kimahesabu imkwepe brazil hatua ya mtoano ikutane na switzerland,serbia ama cameroon

Kila la heri Ghana
Kila la heri korea rupublic

Na inawezekana usiku wa leo Ghana
 
Hayo bado ni matamanio yako ila kikosi cha uruguay ni bora kuliko timu yetu ya ghana

Ghana wakitaka matokeo uwanjani wamiliki mpira kwa asilimia 65 hadi sabin
Valvede na nunez ni watu wa kuchungwa

Kwenye mechi mbili mchezaji wa ghana aliyeparform ni Mohammed kudus ila tatizo lake dkk ya sabini anakuwa amechoka
Uruguay anakufa mchana kweupe
Mark this tweet
 
IMG-20221202-WA0024.jpg
 
TBC ni changamoto sana kuwaangali inahitaji ujasiri wa kumuua chui bila salaha yoyote..!

Sjawahi kuona channel inascrach kama hii
 
Back
Top Bottom