Nje ya eneo lake kipa ni mchezaji kama wachezaji wengine. Kosa lake nini kama aliruka ili aupige mpira kwa kichwa bahati mbaya wakagongana na mchezaji ambae nae aliruka kuupiga mpira kwa kichwa?
Hii siyo conspiracy tu? Miaka yote hata kabla GSM hawajaingia kusponsor ligi hatujawahi, hatujawahi kufurukuta hata kwenye kombe la Kagame (sijajua kwa nini lilitwa la Kagame).