Senegal wanachechemea tu wala hawana pace, wakipata timu nzuri kama Tunisia, Cote D'Ivoire au Mali ndio itakuwa mwisho wao.
Halafu hii VAR imechangia kuharibu sana haya mashindano kwa kadi nyekundu kuvunja rekodi na sidhani kama huko nyuma hili limewahi kutokea.
It's too much and utterly boring.