MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,367
Hatimaye debate Kali kati mwanamama Hillary na Gwiji la Biashara Mr Trump umefanyika na kumalizika kwa AMANI.
Mdahalo huu maswali yalitoka kwa waliohudhuria.
Wenzetu wako serious na mambo ya msingi.
Mengi yameulizwa na kujibiwa na wagombea kwa mitazamo tofauti.
Mabishano hayakuwa makali kama mdahalo wa kwanza