measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,418
Anaulizwa hivi, anajibu vingine.
Ni shidaaaaa
Anaulizwa hivi, anajibu vingine.
Ukiamini wote humu JF wako Musoma sawa. Nyani Ngabu et al.kwao wao bado jioni mkuu.watu hamulali?!!!loohh!
ndo nimewaza hvyo baadae sana kuwa kumbe hatuko wote Chamwino!!Ukiamini wote humu JF wako Musoma sawa. Nyani Ngabu et al. Kwao wao bado jioni mkuu.
Ndio maana anasema nchi ya Iraq na Mosul wakati Mosul iko ndani ya Iraq. International affairs kwa Trump ni 0. Ndio wale wakusema Africa ni nchi.Ni hatari sana kwa Marekani kuwa na Rais ambaye ambaye hayuko exposed na International Affairs. Sijui kwanini namuona Trump ni mweupe kwenye mambo mengi hususan International Affairs. Hayo yaishie hukohuko kwetu. Maana Trump haelewi genesis ya Syria wala namna nchi yake inavyoendeshwa kwa miaka nenda rudi.
Ni hatari sana kwa Marekani kuwa na Rais ambaye ambaye hayuko exposed na International Affairs. Sijui kwanini namuona Trump ni mweupe kwenye mambo mengi hususan International Affairs. Hayo yaishie hukohuko kwetu. Maana Trump haelewi genesis ya Syria wala namna nchi yake inavyoendeshwa kwa miaka nenda rudi.
Ni hatari sana kwa Marekani kuwa na Rais ambaye ambaye hayuko exposed na International Affairs. Sijui kwanini namuona Trump ni mweupe kwenye mambo mengi hususan International Affairs. Hayo yaishie hukohuko kwetu. Maana Trump haelewi genesis ya Syria wala namna nchi yake inavyoendeshwa kwa miaka nenda rudi.

Ni shidaaaaa
Are y'all catching what Trump is trying to do? At least three times now he actually has complained that the moderator is being unfair, even though they were not. In my opinion he is trying to paint a picture to the viewers that he is being persecuted, he is really angling for this bunker mentality thing to shore up support and divert attention from his awful comments.
You are deplorables!Haha, at some point Hillary kajisahau kamshangaa anavotanga mpaka kaonekana.
Halafu good to see you, ulipotea.

Trump anaua kwa style ya goli la jioni sasa. America is divided. ......hahahaaa!
Yeah, I've noticed the whining.
Lol! Hahahahaha did you hear about TRUMP EFFECT from Hillary's mouth!? Lol! 🙂🙂🙂
Bill Maher calls him a "whiny little bitch" 🙂