2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

As per CNN's opinion polls Hillary won for the second time 57% to 34%. GO! Hillary GO!
 
Duuu hapo ndio nashindwaga hata kuangalia CNN in truth trump did better than clin
 
Hao TBC wangekuwa na uhuru wa kuhoji mashetani wa Ikulu kama waliokuwa nao CNN bila ya kuwa na hofu ya kufukuzwa kazi mbona tungejivunia TBC! Na kwa taarifa yako CNN hawapewi mkwanja toka Serikalini kama ilivyo kwa TBC.

Haaa TBC ya US
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hao TBC wangekuwa na uhuru wa kuhoji mashetani wa Ikulu kama waliokuwa nao CNN bila ya kuwa na hofu ya kufukuzwa kazi mbona tungejivunia TBC! Na kwa taarifa yako CNN hawapewi mkwanja toka Serikalini kama ilivyo kwa TBC.
Kaka huwa nakubali sana hoja zako n mitazamo yako kila siku Ila Mdahalo wa leo mama kaburuzwa aise
 
Silaha ya mwisho ya mama ilikuwa tape hii ya 2005 Ila naona DT kaijibu kisomi zaidi n mama alishindwa kwenda ndani zaidi nadhani kutokana n scandal za mme wake
 
Kumbuka hizo namba si mimi niliyezitoa. CNN wana utaratibu wao wa kuwafuatilia wale walioangalia debate na kisha kuwahoji na hivyo kufikia hitimisho. Watu mnaweza kuangalia kitu kile kile lakini mkaja na hitimisho tofauti

Kaka huwa nakubali sana hoja zako n mitazamo yako kila siku Ila Mdahalo wa leo mama kaburuzwa aise
 
Kumbuka hizo namba si mimi niliyezitoa. CNN wana utaratibu wao wa kuwafuatilia wale walioangalia debate na kisha kuwahoji na hivyo kufikia hitimisho. Watu mnaweza kuangalia kitu kile kile lakini mkaja na hitimisho tofauti
Nimekupata Kaka
 
CNN wamesema kuwa wengi wa walioangalia na kupiga kura ni demos, hivyo usitegemee DT awe juu
Pia ukiangalia waliosema HC kafanya vizuri ni 39pc wakati kwa DT ni 63pc
 
Attachments

  • 1476073692697.jpg
    1476073692697.jpg
    62.1 KB · Views: 48
Naona comments nyingi zinamuunga mkono Trump ni mtizamo wao.

Lakini Mama Clinton alikuwa anajibu vizuri maswali na Trump alikuwa anamlaumu Hillary kwa mambo mengi kutokuwa vizuri USA na Duniani

Nadhani hicho ndo kimembeba kushinda tena mdahalo Mama Hillary.
 
ı wonder how much power does the president have over CIA? ıt seems to me that uSA has been somewhat consistent in leading the world due to CIA functions and not the white house chair bearer. So whoever wins the outcome to the outside world will more or less the same
 
Back
Top Bottom